You are currently viewing ZIJUE FAIDA ZA KUNUNUA BATI KIWANDANI MOJA KWA MOJA.

ZIJUE FAIDA ZA KUNUNUA BATI KIWANDANI MOJA KWA MOJA.

ZIJUE FAIDA ZA KUNUNUA BATI KIWANDANI MOJA KWA MOJA.

usafirishaji ni bure kwa wateja wote popote ulipo

● unazalishiwa bati kulingana na vipimo vyako ( vipimo maalum)
● ushauri wa kiufundi bure
● ofa mbalimbali zinatolewa

■ Kwa wateja wa mikoani

Utaratibu wetu kama ifuatavyo,

malipo popote ulipo unaweza kuyafanya kupitia akaunti za ofisini CRDB BANK ndiyo tunayotumia , ukishafanya malipo utatuma bank slip kuonyesha malipo yako kisha tunakuandalia oda yako, vile vile kabla ya malipo unaweza kumtuma mwakilishi wako ndugu au rafiki akafika ofisini kujiridhisha kuangalia utaratibu wote kisha ukafanya hayo malipo yako wewe mwenyewe moja kwa moja au kupitia huyo mwakilishi wako akalipia yeye na tunakukatia oda yako karibu sana ndugu mteja.

● tunasafirisha bure mikoa yote nchi nzima ukiweka oda yako utapokea bati zako kwa haraka sana

● tafadhali wasiliana nasi zaidi kwa huduma zetu

0656078230

0746113477

Leave a Reply