JE NI GEJI GANI NZURI?

Geji ni thickness ya Bâti (Unene wa Bâti) kuna geji tofauti kama 30G, 28G na 26G. Jinsi namba ya geji inavyoshuka chini Ndio ubora wa Bâti unavyoongezeka mfano geji 30 na geji 28 Bâti ya geji 28 ina unene mkubwa kulinganisha na geji 30 hivyo basi geji 28 ni nzuri na bora zaidi kwa matumizi kulinganisha na geji 30.

SWALI; JE NI GEJI GANI NZURI?
Jibu; Kuanzia geji 30,28 na 26 ni nzuri kwa Matumizi ya nyumba, godown na viwanda.
Kwa matumizi ya nyumba nakushauri utumie geji 30 au 28, Hii ni kutoka na na uwezo wako kama uwezo wako ni wa Kawaida geji 30 ni nzuri lakini kama unahitaji Bâti yenye quality ya juu zaidi Basi  waweza tumia geji 28 kama mfuko wako Upo vizuri kwa kipindi hicho kwani geji 28 bei yake ni kubwa zaidi ya geji 30.

Kwa matumizi ya godown na viwanda nakushauri utumie geji 28 au geji 26.

WASILIANA NASI KUPATA BATI IMARA ZA GEJI MBALIMBALI

0656078230

Leave a Reply