ELIMU KUHUSU MABATI Katika miaka ya hivi karibuni mabati yamekuwa yakitumika zaidi katika kuezekea katika nchi za Afrika.Umuhimu wake unatoa sababu za kutosha ya wanaotaka kujenga kujifunza kwa kina kuhusu mabati na namna ya kuchagua. Mabati hutengenezwa kutokana na metali mbalimbali ikiwemo chuma,aluminium,zinc,kopa ama mchanganyiko kati ya metali mbalimbali ambao hujulikana kama aloi(Alloy) Alloy hutumika […]